Monday, November 27, 2017

CCM YAIKAMATA KASKAZINI, YASHINDA KATA NNE JIMBONI ZA ARUMERU MASHARIKI


 
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeshinda kata nne za Arumeru Mashariki ambazo wagombea wa Chadema wamejitoa. Kata hizo na matokeo yake ni kama ifuatavyo, Makiba Samson Laizer (CCM) kura 2,029 na Joyce Martin (Chadema) kura 608.
 
Kata ya Ambuleni, Jasephat Jackson (CCM) kura 2,057 na
 
Dominick Mollel (Chadema) kura 1,201. Kata ya Leguruki
 
Andason Sikawa (CCM) kura 3,023 na Daniel Mbise(Chadema) kura 287.
 
Kata ya Maroroni, Yoha Kaaya (CCM) kura 3,568 na Asanterabi Mbise (Chadema) 1,201.

No comments :

Post a Comment