Monasteri : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: war:Monasteryo |
Reformat 2 URLs (Wayback Medic 2.5)) #IABot (v2.0.9.5) (GreenC bot |
||
(marekebisho 15 ya kati na watumizi wengine 11 na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[File:Mor-mattai.png|thumb|Monasteri iliyoanzishwa na [[Mar Mattai]] aliyekimbilia [[Amid]] ([[Mesopotamia]]) wakati wa [[dhuluma]] za [[kaisari]] [[Juliano Mwasi]] ([[363]]).]] |
|||
⚫ | |||
[[File:Sumela From Across Valley.JPG|thumb|Monasteri ya [[Sumela]], kusini kwa [[Trabzon]], [[Uturuki]], ilijengwa katika [[karne ya 4]] (labda [[386]]).]] |
|||
⚫ | |||
[[File:Katharinenkloster Sinai BW 2.jpg|thumb|Monasteri ya [[Mt. Katerina wa Aleksandria]] juu ya [[Mlima Sinai]], mwanzo wa [[karne ya 6]].]] |
|||
⚫ | |||
[[File:Prokudin-Gorskii-09-edit2.jpg|thumb|Monasteri ya Mt. Nilus katika [[kisiwa]] [[Stolbnyi]] kwenye [[Ziwa Seliger]] karibu na [[Ostashkov]], [[Russia]], [[1910]] hivi.]] |
|||
⚫ | '''Monasteri''' (kutoka [[Kiingereza]] "monastery") katika [[Ukristo]] ni [[jengo]] au majengo ya pamoja ambapo inaishi [[jumuia]] ya [[wamonaki]], chini ya [[mamlaka]] ya [[abati]]. Kila moja inaweza kujitegemea, ingawa pengine yameundwa [[mashirikisho]] ili kusaidiana na kuratibu [[malezi]] na masuala mengine ya pamoja. |
||
Monasteri ni tofauti na [[konventi]], zilizoanzishwa na mashirika ya |
Monasteri ni tofauti na [[konventi]], zilizoanzishwa na [[mashirika ya ombaomba]], ambayo wanajumuia wake si wamonaki bali wanaitwa "ndugu". |
||
Monasteri za Kikristo zilianza kujengwa baada ya kwisha kwa [[dhuluma]] za [[Dola la Roma]] dhidi ya Ukristo, ingawa hata kabla ya hapo kulikuwa na waamini |
Monasteri za Kikristo zilianza kujengwa baada ya kwisha kwa [[dhuluma]] za [[Dola la Roma]] dhidi ya Ukristo, ingawa hata kabla ya hapo kulikuwa na waamini wanaoishi namna fulani ya [[Utawa|maisha ya kitawa]]. |
||
Kwa karne nyingi monasteri zilikuwa [[mji]] mdogo unaojitegemea kiuchumi pia kutokana na mkazo uliowekwa katika kusali na kufanya kazi. |
Kwa [[karne]] nyingi monasteri zilikuwa kama [[mji]] mdogo unaojitegemea [[Uchumi|kiuchumi]] pia kutokana na mkazo uliowekwa katika [[Sala na kazi|kusali na kufanya kazi]]. |
||
Kuna monasteri hata katika ya baadhi ya [[dini]] nyingine, hasa [[Ubuddha]]. |
Kuna monasteri hata katika ya baadhi ya [[dini]] nyingine, hasa [[Ubuddha]]. |
||
==Tanbihi== |
|||
[[Jamii:Umonaki]] |
|||
{{ |
{{reflist}} |
||
==Viungo vya nje== |
|||
[[af:Klooster]] |
|||
{{Commons category|Monasteries}} |
|||
[[an:Monesterio]] |
|||
* [http://www.sumela.org Sumela Monastery] |
|||
[[ang:Mynster]] |
|||
* [http://www.historyfish.net/monastics/monastics.html Public Domain photographs and texts, and information regarding medieval monasteries.] |
|||
[[ar:دير]] |
|||
* [http://www.vaticanoweb.com/monasteri/initalia.asp Monastery Italy] |
|||
[[ast:Cenobiu]] |
|||
* [http://monasteries.org.ua/en/searchmonasteries Monasteries Search] {{Webarchive|url=https://archive.today/20161220065937/http://monasteries.org.ua/en/searchmonasteries |date=2016-12-20 }} — UOC Synod Commission for Monasteries |
|||
[[az:(صوما (اهر]] |
|||
* [http://monasteries.org.ua/en/geomaps/gmap Google-map] {{Webarchive|url=https://archive.today/20161220065938/http://monasteries.org.ua/en/geomaps/gmap |date=2016-12-20 }} — UOC Synod Commission for Monasteries |
|||
[[be:Манастыр]] |
|||
[[bg:Манастир]] |
|||
{{mbegu-dini}} |
|||
[[br:Manati]] |
|||
[[bs:Samostan]] |
|||
[[ |
[[Jamii:Wamonaki]] |
||
[[cs:Klášter]] |
|||
[[da:Kloster]] |
|||
[[de:Kloster]] |
|||
[[en:Monastery]] |
|||
[[eo:Monaĥejo]] |
|||
[[es:Monasterio]] |
|||
[[et:Klooster]] |
|||
[[eu:Monasterio]] |
|||
[[fa:صومعه]] |
|||
[[fi:Luostari]] |
|||
[[fr:Monastère]] |
|||
[[fy:Kleaster]] |
|||
[[ga:Mainistir]] |
|||
[[gl:Mosteiro]] |
|||
[[he:מנזר]] |
|||
[[hr:Samostan]] |
|||
[[hu:Kolostor]] |
|||
[[ia:Monasterio]] |
|||
[[is:Klaustur]] |
|||
[[it:Monastero]] |
|||
[[ja:僧院]] |
|||
[[ka:მონასტერი]] |
|||
[[la:Monasterium]] |
|||
[[lb:Klouschter]] |
|||
[[li:Kloaster]] |
|||
[[lt:Vienuolynas]] |
|||
[[lv:Klosteris]] |
|||
[[nds-nl:Klooster]] |
|||
[[nl:Klooster (gebouw)]] |
|||
[[nn:Kloster]] |
|||
[[no:Kloster]] |
|||
[[nrm:Monastéthe]] |
|||
[[oc:Monastèri]] |
|||
[[pl:Klasztor]] |
|||
[[pt:Mosteiro]] |
|||
[[ro:Mănăstire]] |
|||
[[ru:Монастырь]] |
|||
[[sh:Manastir]] |
|||
[[simple:Monastery]] |
|||
[[sk:Kláštor]] |
|||
[[sl:Samostan]] |
|||
[[sq:Manastiri (Feja)]] |
|||
[[sr:Манастир]] |
|||
[[sv:Kloster]] |
|||
[[th:อาราม]] |
|||
[[tr:Manastır]] |
|||
[[uk:Монастир]] |
|||
[[vec:Monastier]] |
|||
[[vi:Tu viện]] |
|||
[[war:Monasteryo]] |
|||
[[zh:僧院]] |
Toleo la sasa la 07:27, 17 Septemba 2023
Monasteri (kutoka Kiingereza "monastery") katika Ukristo ni jengo au majengo ya pamoja ambapo inaishi jumuia ya wamonaki, chini ya mamlaka ya abati. Kila moja inaweza kujitegemea, ingawa pengine yameundwa mashirikisho ili kusaidiana na kuratibu malezi na masuala mengine ya pamoja.
Monasteri ni tofauti na konventi, zilizoanzishwa na mashirika ya ombaomba, ambayo wanajumuia wake si wamonaki bali wanaitwa "ndugu".
Monasteri za Kikristo zilianza kujengwa baada ya kwisha kwa dhuluma za Dola la Roma dhidi ya Ukristo, ingawa hata kabla ya hapo kulikuwa na waamini wanaoishi namna fulani ya maisha ya kitawa.
Kwa karne nyingi monasteri zilikuwa kama mji mdogo unaojitegemea kiuchumi pia kutokana na mkazo uliowekwa katika kusali na kufanya kazi.
Kuna monasteri hata katika ya baadhi ya dini nyingine, hasa Ubuddha.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Sumela Monastery
- Public Domain photographs and texts, and information regarding medieval monasteries.
- Monastery Italy
- Monasteries Search Archived 2016-12-20 at Archive.today — UOC Synod Commission for Monasteries
- Google-map Archived 2016-12-20 at Archive.today — UOC Synod Commission for Monasteries
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |