Nenda kwa yaliyomo

Miss World : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
(marekebisho 2 ya kati na watumizi wengine 2 na yule ambaye hajaonyeshwa)
Mstari 8: Mstari 8:
Mwaka wa 1951, kulikuwa na tamasha nchini Uingereza iliokuwa inaitwa "Festival of Britan". Katika tamasha hayo, Eric alipanga mashindano ya mrembo bora ambae atavaa vaazi ya kuoga inayoitwa "Bikini". Vyombo vya Habari walipojua kuhusu hiyo shindano, wakachapisha kwamba haya ni mashindano ya kimataifa kwahiyo ushindano hiyo ilianza kuitwa "Miss World".
Mwaka wa 1951, kulikuwa na tamasha nchini Uingereza iliokuwa inaitwa "Festival of Britan". Katika tamasha hayo, Eric alipanga mashindano ya mrembo bora ambae atavaa vaazi ya kuoga inayoitwa "Bikini". Vyombo vya Habari walipojua kuhusu hiyo shindano, wakachapisha kwamba haya ni mashindano ya kimataifa kwahiyo ushindano hiyo ilianza kuitwa "Miss World".


Mshindi wa kwanza mwaka 1951 alikuwa '''Kerstin "Kiki" Hakansson''' kutoka nchini [[Uswidi]]. Mshindi huyu alipewa taji wakati alivaa kivaazi ya Bikini. Baada ya ushindano ya kwanza, Eric aliamua kupanga haya mashindano kila mwaka.
Mshindi wa kwanza mwaka 1951 alikuwa '''Kerstin "Kiki" Hakansson''' kutoka nchini [[Uswidi]]. Mshindi huyu alipewa taji wakati alivaa kivaazi cha Bikini. Baada ya ushindano ya kwanza, Eric aliamua kupanga haya mashindano kila mwaka.


Mashindano hayo yalipata umaarufu duniani kote baada ya kuonyenshwa katika chaneli ya [[televisheni]] [[BBC]].
Mashindano hayo yalipata umaarufu duniani kote baada ya kuonyenshwa katika chaneli ya [[televisheni]] [[BBC]].
Mstari 15: Mstari 15:


=== '''<sub><big>Karne ya 21</big></sub>''' ===
=== '''<sub><big>Karne ya 21</big></sub>''' ===
<sub><big>Mshindi wa kwanza ambae ni mtu mweusi kutoka baara la Africa, alikuwa, '''Agbani Darego''' kutoka nchini [[Nigeria]], ambae alishinda mwaka 2001.</big></sub>
<sub><big>Mshindi wa kwanza kutoka [[Afrika]] [[Kusini kwa Sahara]], alikuwa '''Agbani Darego''' wa [[Nigeria]], ambaye alishinda mwaka 2001.</big></sub>


== Washindi wa Miss World ==
== Washindi wa Miss World ==

Toleo la sasa la 11:13, 5 Aprili 2024

Miss World ni shindano la urembo la kimataifa, ambalo lilianzishwa nchini Uingereza na Eric Morley mwaka 1951. Shindano hilo ni la zamani kuliko mashindano mengine ya urembo ya kimataifa.

Baada ya kifo ya Eric mwaka wa 2000, Mjane wake, Julia Morley, ndiye kachukuwa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa mashindano hayo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Karne ya 20

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa 1951, kulikuwa na tamasha nchini Uingereza iliokuwa inaitwa "Festival of Britan". Katika tamasha hayo, Eric alipanga mashindano ya mrembo bora ambae atavaa vaazi ya kuoga inayoitwa "Bikini". Vyombo vya Habari walipojua kuhusu hiyo shindano, wakachapisha kwamba haya ni mashindano ya kimataifa kwahiyo ushindano hiyo ilianza kuitwa "Miss World".

Mshindi wa kwanza mwaka 1951 alikuwa Kerstin "Kiki" Hakansson kutoka nchini Uswidi. Mshindi huyu alipewa taji wakati alivaa kivaazi cha Bikini. Baada ya ushindano ya kwanza, Eric aliamua kupanga haya mashindano kila mwaka.

Mashindano hayo yalipata umaarufu duniani kote baada ya kuonyenshwa katika chaneli ya televisheni BBC.

Eric alifariki mwaka 2000, baada ya hapa mjane wake, Julia Morley kachukuwa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa mashindano hayo

Karne ya 21

[hariri | hariri chanzo]

Mshindi wa kwanza kutoka Afrika Kusini kwa Sahara, alikuwa Agbani Darego wa Nigeria, ambaye alishinda mwaka 2001.

Washindi wa Miss World

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Nchi ya Mshindi Miss World Kutoka Mji Sehemu ya Mashindano Tarehe Idadi ya Washiriki
1951 Bendera ya Uswidi Uswidi Håkansson, KikiKiki Håkansson [1] Stockholm London, United Kingdom July 29, 1951 27
1952 Flodin, May-LouiseMay-Louise Flodin [2] November 14, 1952 11
1953  Ufaransa Perrier, DeniseDenise Perrier[2] Ambérieu-en-Bugey October 19, 1953 15
1954 Bendera ya Misri Egypt Costanda, AntigoneAntigone Costanda[2] Alexandria October 18, 1954 16
1955 Bendera ya Venezuela Venezuela Duijm, SusanaSusana Duijm [2] Aragua de Barcelona October 20, 1955 21
1956 Bendera ya West Germany Germany Petra Schürmann [2] Mönchengladbach October 15, 1956 24
1957 Bendera ya Ufini Finland Lindahl, MaritaMarita Lindahl [2] Helsinki October 14, 1957 23
1958  Afrika Kusini Coelen, PenelopePenelope Coelen[2] Durban October 13, 1958 20
1959 Bendera ya Uholanzi Uholanzi Rottschäfer, CorineCorine Rottschäfer [2] Hoorn November 10, 1959 37
1960 Bendera ya Argentina Argentina Cappagli, NormaNorma Cappagli [2] Buenos Aires November 8, 1960 39
1961 Ufalme wa Muungano Frankland, RosemarieRosemarie Frankland [2] Rhosllanerchrugog November 9, 1961 37
1962 Bendera ya Uholanzi Uholanzi Lodders, CatharinaCatharina Lodders[2] Haarlem November 8, 1962 33
1963 Bendera ya Jamaika Jamaica Crawford, CaroleCarole Crawford[2] Kingston November 7, 1963 40
1964 Ufalme wa Muungano Sidney, AnnAnn Sidney[2] Poole November 12, 1964 42
1965 Langley, LesleyLesley Langley[2] Weymouth November 19, 1965 48
1966 Bendera ya Uhindi India Faria, ReitaReita Faria[2] Mumbai November 17, 1966 51
1967 Bendera ya Peru Peru Hartog-Bel, MadeleineMadeleine Hartog-Bel[2] Camaná November 16, 1967 55
1968 Bendera ya Australia Australia Plummer, PenelopePenelope Plummer[2] Melbourne November 14, 1968 53
1969 Austria Rueber-Staier, EvaEva Rueber-Staier[2] Bruck an der Mur November 27, 1969 50
1970 Bendera ya Grenada Grenada Hosten, JenniferJennifer Hosten[2] St. George's November 20, 1970 58
1971 Bendera ya Brazil Brazil Petterle, LúciaLúcia Petterle[2] Rio de Janeiro November 10, 1971 56
1972 Bendera ya Australia Australia Green, BelindaBelinda Green[2] Melbourne December 1, 1972 53
1973 Marekani Wallace, MarjorieMarjorie Wallace[2] Indianapolis November 23, 1973 54
1974 Ufalme wa Muungano Helen Morgan (Resigned)[2] Walsall November 22, 1974 58
 Afrika Kusini Kriel, AnnelineAnneline Kriel (Assumed)[2] Pretoria
1975 Template loop detected: Kigezo:Flag Merced, WilneliaWilnelia Merced[2] Caguas November 20, 1975 67
1976 Bendera ya Jamaika Jamaica Breakspeare, CindyCindy Breakspeare Kingston November 18, 1976 60
1977 Bendera ya Uswidi Uswidi Stävin, MaryMary Stävin Örebro County November 17, 1977 62
1978 Bendera ya Argentina Argentina Suárez, SilvanaSilvana Suárez Córdoba November 16, 1978 68
1979 Kigezo:BER Swainson, GinaGina Swainson Hamilton November 15, 1979 70
1980 Bendera ya Ujerumani Ujerumani Brum, GabriellaGabriella Brum (Resigned) Berlin November 13, 1980 67
Kigezo:GUM Santos, KimberleyKimberley Santos (Assumed) Hagåtña
1981 Bendera ya Venezuela Venezuela León, PilínPilín León Maracay November 12, 1981
1982 Bendera ya Jamhuri ya Dominika Jamhuri ya Dominika Álvarez, MariaselaMariasela Álvarez Santo Domingo November 18, 1982 68
1983 Ufalme wa Muungano Hutt, Sarah-JaneSarah-Jane Hutt Poole November 17, 1983 72
1984 Bendera ya Venezuela Venezuela Herrera, Astrid CarolinaAstrid Carolina Herrera Yaracuy November 15, 1984
1985 Bendera ya Iceland Iceland Karlsdóttir, HólmfríðurHólmfríður Karlsdóttir Reykjavík November 14, 1985 78
1986 Trinidad and Tobago Laronde, GiselleGiselle Laronde Port of Spain November 13, 1986 77
1987 Auistria Weigerstorfer, UllaUlla Weigerstorfer[2] Bad Aussee November 12, 1987 78
1988 Bendera ya Iceland Iceland Pétursdóttir, LindaLinda Pétursdóttir[2] Húsavík November 17, 1988 84
1989 Bendera ya Poland Poland Kręglicka, AnetaAneta Kręglicka[2] Szczecin Wan Chai, Hong Kong November 22, 1989 78
1990 Marekani Tolleson, GinaGina Tolleson[2] Spartanburg London, United Kingdom November 8, 1990 81
1991 Bendera ya Venezuela Venezuela Leal, NinibethNinibeth Leal Maracaibo Atlanta, United States December 28, 1991 78
1992 Bendera ya Urusi Urusi Julia Kourotchkina Shcherbinka Sun City, South Africa December 12, 1992 83
1993 Bendera ya Jamaika Jamaica Lisa Hanna[2] Kingston November 27, 1993 81
1994 Bendera ya Uhindi India Aishwarya Rai[2] Mangalore November 19, 1994 87
1995 Bendera ya Venezuela Venezuela Aguilera, JacquelineJacqueline Aguilera Valencia November 18, 1995 84
1996 Bendera ya Ugiriki Greece Skliva, IreneIrene Skliva[2] Athens Bangalore, India November 23, 1996 88
1997 Bendera ya Uhindi India Hayden, DianaDiana Hayden Hyderabad Mahé, Seychelles November 22, 1997 86
1998 Bendera ya Israel Israel Abargil, LinorLinor Abargil Netanya November 26, 1998
1999 Bendera ya Uhindi India Mookhey, YuktaYukta Mookhey Bangalore London, United Kingdom December 4, 1999 94
2000 Chopra, PriyankaPriyanka Chopra Jamshedpur November 30, 2000 95
2001 Bendera ya Nigeria Nigeria Darego, AgbaniAgbani Darego Lagos Sun City, South Africa November 16, 2001 93
2002 Uturuki Akın, AzraAzra Akın Ankara London, United Kingdom December 7, 2002 88
2003 Bendera ya Eire Ireland Davison, RosannaRosanna Davison Dublin Sanya, China December 6, 2003 106
2004 Bendera ya Peru Peru Mantilla, María JuliaMaría Julia Mantilla Trujillo December 4, 2004 107
2005 Bendera ya Iceland Iceland Unnur Vilhjálmsdóttir Reykjavík December 10, 2005 102
2006 Bendera ya Ucheki Czech Republic Kuchařová, TaťánaTaťána Kuchařová Trnava Warsaw, Poland September 30, 2006 104
2007 China Zilin, ZhangZhang Zilin Weihai Sanya, China December 1, 2007 106
2008 Bendera ya Urusi Urusi Sukhinova, KseniaKsenia Sukhinova Tyumen Johannesburg, South Africa December 13, 2008 109
2009 Kigezo:GIB Aldorino, KaianeKaiane Aldorino Gibraltar December 12, 2009 112
2010 Marekani Mills, AlexandriaAlexandria Mills Louisville Sanya, China October 30, 2010 115
2011 Bendera ya Venezuela Venetuela Sarcos, IvianIvian Sarcos Guanare London, United Kingdom November 6, 2011 113
2012 China Wenxia, YuYu Wenxia Shangzhi Ordos City, China August 18, 2012 116
2013 Kigezo:PHI Young, MeganMegan Young Olongapo Nusa Dua, Indonesia September 28, 2013 127
2014 Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini Strauss, RoleneRolene Strauss Volksrust London, United Kingdom December 14, 2014 121
2015 Bendera ya Hispania Hispania Lalaguna, MireiaMireia Lalaguna Barcelona Sanya, China December 19, 2015 114
2016 Kigezo:PUR Del Valle, StephanieStephanie Del Valle San Juan Oxon Hill, United States December 18, 2016 117
2017 Bendera ya Uhindi India Manushi Chhillar Rohtak Sanya, China November 18, 2017 118
2018 Bendera ya Mexiko Meksiko Vanessa Ponce Mexico City December 8, 2018
2019 Bendera ya Jamaika Jamaica Toni-Ann Singh Saint Thomas London, United Kingdom December 14, 2019 111
2020 Haikufanyika
2021 Bendera ya Poland Poland Karolina Bielawska Łódź San Juan, Puerto Rico March 16, 2022 97
2022 Haikufanyika
2023 Bendera ya Ucheki Czech Republic Krystyna Pyszková Třinec Mumbai, India March 9, 2024 112

Mataifa yaliyopata ushindi kwa idadi

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Idadi ya Ushindi Mwaka
Bendera ya Uhindi India 6 1966, 1994, 1997, 1999, 2000, 2017
Bendera ya Venezuela Venezuela 1955, 1981, 1984, 1991, 1995, 2011
Bendera ya Jamaika Jamaica 4 1963, 1976, 1993, 2019
Bendera ya Ufalme wa Muungano United Kingdom 1961, 1964, 1965, 1983
Bendera ya Afrika Kusini South Africa 3 1958, 1974, 2014
Bendera ya Marekani United States 1973, 1990, 2010
Bendera ya Iceland Iceland 1985, 1988, 2005
Bendera ya Uswidi Sweden 1951, 1952, 1977
Bendera ya Ucheki Czech Republic 2 2006, 2023
Bendera ya Poland Poland 1989, 2021
Puerto Rico 1975, 2016
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa China China 2007, 2012
Bendera ya Urusi Russia 1992, 2008
Bendera ya Peru Peru 1967, 2004
Bendera ya Austria Austria 1969, 1987
Bendera ya Argentina Argentina 1960, 1978
Bendera ya Australia Australia 1968, 1972
Bendera ya Uholanzi Netherlands 1959, 1962
Bendera ya Mexiko Mexico 1 2018
Bendera ya Hispania Spain 2015
Bendera ya Philippines Philippines 2013
Bendera ya Gibraltar Gibraltar 2009
Bendera ya Eire Ireland 2003
Bendera ya Uturuki Turkey 2002
Bendera ya Nigeria Nigeria 2001
Bendera ya Israel Israel 1998
Bendera ya Ugiriki Greece 1996
Bendera ya Trinidad and Tobago Trinidad and Tobago 1986
Bendera ya Jamhuri ya Dominika Dominican Republic 1982
Kigezo:Country data Guam 1980
Bendera ya Bermuda Bermuda 1979
Bendera ya Brazil Brazil 1971
Bendera ya Grenada Grenada 1970
Bendera ya Ufini Finland 1957
Bendera ya Ujerumani Germany 1956
Bendera ya Misri Egypt 1954
Bendera ya Ufaransa France 1953

Picha za washindi

[hariri | hariri chanzo]
  1. Sanghani, Radhika (Desemba 19, 2014). "Miss World ditches 'sexist bikini round' after 63 years". The Telegraph. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-12. Iliwekwa mnamo Juni 27, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)Kigezo:Cbignore
  2. 2.00 2.01 2.02 2.03 2.04 2.05 2.06 2.07 2.08 2.09 2.10 2.11 2.12 2.13 2.14 2.15 2.16 2.17 2.18 2.19 2.20 2.21 2.22 2.23 2.24 2.25 2.26 2.27 2.28 2.29 2.30 2.31 Rose, D. (2010). Sexually, I'm More of a Switzerland. Simon and Schuster. ku. 149–157. ISBN 978-1-4391-3149-7. Iliwekwa mnamo Juni 27, 2016.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]