Vladimir Aceti : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Vladimir Aceti 2021.jpg|thumbnail|right|200px|Vladimir Aceti]] |
[[Picha:Vladimir Aceti 2021.jpg|thumbnail|right|200px|Vladimir Aceti]] |
||
'''Vladimir Aceti''' (lizaliwa [[16 Oktoba]] [[1998]]) ni [[mwanariadha]] wa [[Italia]] ambaye alibobea katika mbio za mita 400. Alishiriki katika [[Michezo ya Olimpiki]] ya [[Majira ya joto]] mwaka [[2020]] katika mbio za kupokezana za mita 4 × 400.<ref>{{Cite web|title=Athletics ACETI Vladimir|url=https://olympics.com/tokyo-2020/olympic-games/en/results/athletics/athlete-profile-n1295011-aceti-vladimir.htm|url-status=dead|access-date=2021-09-19|work=Tokyo 2020 Olympics|publisher=[[Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games]]|language=en-us|archive-date=20 September 2021|archive-url=https://web.archive.org/web/20210920232817/https://olympics.com/tokyo-2020/olympic-games/en/results/athletics/athlete-profile-n1295011-aceti-vladimir.htm}}</ref> |

== Wasifu == |
|||
Vladimir Aceti alizaliwa [[Petrozavodsk]]. Alipokuwa na umri wa miaka 5, alipelekwa na kupokelewa na familia ya [[Kiitalia|Kiitaliano]]. <ref>{{cite web|url=http://www.fidal.it/atleta_one.php?t=dq2Rk5ugbmk|title=Vladimir Aceti Biografia|publisher=fidal.it|language=it|access-date=7 July 2018}}</ref> |
|||
Klabu yake ya kwanza ilikuwa Atletica Vis Nova ya Giussano. Tarehe 27 Mei 2017, aliweka rekodi yake binafsi ya muda wa sekunde 46.30 huko Oordegem, ikiwa ni muda wa pili bora zaidi kwa kijana wa Italia. Tarehe 2 Julai 2017, alimaliza wa pili katika Mashindano ya Italia yaliyofanyika Trieste, kwa muda wa sekunde 46.40. Tarehe 22 Julai 2017, aliweka Rekodi Mpya ya Taifa ya Vijana, na kushinda medali ya dhahabu kwenye Mashindano ya Ulaya U20 ya mwaka 2017 huko Grosseto, pamoja na kushinda medali ya dhahabu kwenye mbio za kupokezana vijiti za 4x400 m (WU20L). <ref>{{cite web|url=http://www.fidal.it/atleta_one.php?t=dq2Rk5ugbmk|title=Vladimir Aceti - Biography|publisher=fidal.it|language=it|access-date=29 July 2019}}</ref> |
|||
== Marejeo == |
== Marejeo == |
||
<references /> |
<references /> |
Pitio la 11:16, 15 Oktoba 2024
Vladimir Aceti (lizaliwa 16 Oktoba 1998) ni mwanariadha wa Italia ambaye alibobea katika mbio za mita 400. Alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 2020 katika mbio za kupokezana za mita 4 × 400.[1]
Wasifu
Vladimir Aceti alizaliwa Petrozavodsk. Alipokuwa na umri wa miaka 5, alipelekwa na kupokelewa na familia ya Kiitaliano. [2]
Klabu yake ya kwanza ilikuwa Atletica Vis Nova ya Giussano. Tarehe 27 Mei 2017, aliweka rekodi yake binafsi ya muda wa sekunde 46.30 huko Oordegem, ikiwa ni muda wa pili bora zaidi kwa kijana wa Italia. Tarehe 2 Julai 2017, alimaliza wa pili katika Mashindano ya Italia yaliyofanyika Trieste, kwa muda wa sekunde 46.40. Tarehe 22 Julai 2017, aliweka Rekodi Mpya ya Taifa ya Vijana, na kushinda medali ya dhahabu kwenye Mashindano ya Ulaya U20 ya mwaka 2017 huko Grosseto, pamoja na kushinda medali ya dhahabu kwenye mbio za kupokezana vijiti za 4x400 m (WU20L). [3]
Marejeo
- ↑ "Athletics ACETI Vladimir". Tokyo 2020 Olympics (kwa American English). Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 2021-09-19.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vladimir Aceti Biografia" (kwa Kiitaliano). fidal.it. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vladimir Aceti - Biography" (kwa Kiitaliano). fidal.it. Iliwekwa mnamo 29 Julai 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Aceti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |