Orlando Brandes : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Orlando Brandes '''Orlando Brandes''' (alizaliwa tarehe 13 Aprili 1946) ni mhashamu wa Kanisa Katoliki la Brazil ambaye aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Aparecida mwaka 2017. Alikuwa Askofu wa Joinville kuanzia mwaka 1994 hadi 2006 na Askofu Mkuu wa Londrina kuanzia mwaka 2006 hadi 2016.<ref name="diobio">{{cite web|language=pt|access-date=1...' |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 12:13, 15 Novemba 2024
Orlando Brandes (alizaliwa tarehe 13 Aprili 1946) ni mhashamu wa Kanisa Katoliki la Brazil ambaye aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Aparecida mwaka 2017. Alikuwa Askofu wa Joinville kuanzia mwaka 1994 hadi 2006 na Askofu Mkuu wa Londrina kuanzia mwaka 2006 hadi 2016.[1]
Marejeo
- ↑ "Arquidiocese – Arcebispo". Archdiocese of Aparecida (kwa Kireno). 31 Januari 2017. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |