Nenda kwa yaliyomo

Thurston Hunt : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Thurston Hunt''' (alifariki 31 Machi 1601 huko Lancaster) alikuwa kasisi Mkatoliki kutoka Uingereza. Alihukumiwa na kuuawa pamoja na Robert Middleton, ambaye pia alikuwa kasisi. Walitambuliwa kama mashahidi na Kanisa Katoliki, na walitangazwa wenye heri mnamo 1987 na Papa Yohane Paulo II. Mmoja wa waandishi wa nyakati hizo aliimba: ''Hunt's hawtie corage staut,'' ''With godlie zeale soe true,'' ''Myld Middleton, O...'
Tags: KihaririOneshi Disambiguation links
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:04, 29 Novemba 2024

Thurston Hunt (alifariki 31 Machi 1601 huko Lancaster) alikuwa kasisi Mkatoliki kutoka Uingereza. Alihukumiwa na kuuawa pamoja na Robert Middleton, ambaye pia alikuwa kasisi. Walitambuliwa kama mashahidi na Kanisa Katoliki, na walitangazwa wenye heri mnamo 1987 na Papa Yohane Paulo II.

Mmoja wa waandishi wa nyakati hizo aliimba:

Hunt's hawtie corage staut,

With godlie zeale soe true,

Myld Middleton, O what tongue

Can halfe thy vertue showe!

(Meaning: Hunt's brave and steadfast courage, with godly zeal so true, and mild Middleton, O what tongue can half show your virtue![1]

Marejeo

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.