Lyon : Tofauti kati ya masahihisho
d roboti Nyongeza: be:Горад Ліён |
d New .svg image |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
|website = [http://www.lyon.fr/ www.lyon.fr] |
|website = [http://www.lyon.fr/ www.lyon.fr] |
||
}} |
}} |
||
[[Picha:Blason |
[[Picha:Blason ville fr Lyon (Rhone).svg|left|80px]] |
||
[[Picha:Lyon fourviere.JPG|right|260px|thumb|Fourvière]] |
[[Picha:Lyon fourviere.JPG|right|260px|thumb|Fourvière]] |
||
'''Lyon''' ndiyo [[mji mkuu]] wa [[mkoa]] wa [[Rhône-Alpes]] na wa tatu katika [[Ufaransa]] nzima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2007, mji huu pamoja na vitongoji vyake una wakazi wapatao milioni 4.4. Mji upo [[mita]] 162-312 [[juu ya usawa wa bahari]]. |
'''Lyon''' ndiyo [[mji mkuu]] wa [[mkoa]] wa [[Rhône-Alpes]] na wa tatu katika [[Ufaransa]] nzima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2007, mji huu pamoja na vitongoji vyake una wakazi wapatao milioni 4.4. Mji upo [[mita]] 162-312 [[juu ya usawa wa bahari]]. |
Pitio la 15:41, 24 Machi 2010
Jiji la Lyon | |
Mahali pa mji wa Lyon katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 45°45′1″N 4°50′3″E / 45.75028°N 4.83417°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Rhône-Alpes |
Wilaya | Rhône |
Idadi ya wakazi (2006) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,783,400 |
Tovuti: www.lyon.fr |
Lyon ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Rhône-Alpes na wa tatu katika Ufaransa nzima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2007, mji huu pamoja na vitongoji vyake una wakazi wapatao milioni 4.4. Mji upo mita 162-312 juu ya usawa wa bahari.
Lyon katika historia
Kihistoria ni muhimu tangu zamani, kwa kuwa ulikuwa mji mkuu wa Gallia. Kiini cha mji kimeorodheshwa na UNESCO mwaka 1998 katika Urithi wa dunia.
Kutoka huko Ukristo ulienea katika nchi inayoitwa sasa Ufaransa. Ndiyo sababu askofu wake anahesabiwa mpaka leo kuwa mkuu kuliko wale wote wa nchi hiyo. Maarufu kati ya watakatifu wake: wafiadini wa Lyon na askofu Ireneo.
Katika karne ya 13 mjini ilifanyika mitaguso miwili inayohesabiwa na Kanisa Katoliki kuwa mitaguso mikuu: Mtaguso I wa Lyon (1245) na Mtaguso II wa Lyon (1274). Mpaka leo jimbo hilo linadumisha liturujia ya pekee inayofuata mapokeo ya Gallia (madhehebu ya Kigalia).
Tazama pia
Viungo vya nje
- (Kifaransa) Site officiel de la ville de Lyon
- (Kifaransa) Films documentaires sur lyon de 1949 à 1989
- (Kifaransa) Site officiel du Grand Lyon, la communauté urbaine de Lyon
- (Kifaransa) Site officiel de l'office de tourisme de Lyon
- (Kifaransa) Portail culture de la Ville de Lyon
- (Kifaransa) Lyon sur Géoportail
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lyon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |