Kikaliko : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
d Kikaliko (lugha) umesogezwa hapa Kikaliko: mabano siyo lazima |
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14030078 |
||
Mstari 12: | Mstari 12: | ||
[[Jamii:Lugha za Uganda]] |
[[Jamii:Lugha za Uganda]] |
||
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] |
[[Jamii:Lugha za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] |
||
[[en:Kaliko language]] |
Pitio la 06:09, 23 Agosti 2013
Kikaliko ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakaliko. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikaliko nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 7,500 nchini Kongo na 5,000 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaliko kiko katika kundi la Kimoru-Madi.
Viungo vya nje
- lugha ya Kikaliko kwenye Multitree
- ramani ya Kikaliko
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=kbo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaliko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |