Nenda kwa yaliyomo

Almarza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:52, 7 Julai 2021 na Godson18 (majadiliano | michango) (#WPWP #WPWPARK)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Almarza
Penye alama nyekundu ndio ukubwa wa manisipaa ya Almarza
Nchi Hispania
Jimbo / Mkoa Soria
Manisipaa Almarza
Eneo 100 km² (38.6 sq mi)
Wakazi 609
Mji wa Almarza, Kastila-Leon

Almarza ni mji mdogo wa mkoa wa Soria katika jimbo la Kastila-Leon la Hispania. Kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 2004 na (INE), manisipaa hiyo hadi sasa inaidadi ya wakazi wapatao 609.

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Almarza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.