Errol Leslie Thomson Flynn (20 Juni 1909 - 14 Oktoba 1959) alikuwa mwigizaji filamu maarufu wa Kimarekani.