Nenda kwa yaliyomo

Regis J. Armstrong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:16, 8 Desemba 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Rev. Regis J. Armstrong, OFMCap, ni padre wa shirika la Wakapuchini na profesa katika Shule ya Masomo ya Dini katika Chuo Kikuu Katoliki cha Amerika.

Anashikilia Shahada ya M.Div. na M.Th. kutoka Seminari ya Teolojia ya Wakapuchini, Shahada ya M.S.Ed. kutoka Chuo cha Iona, na Ph.D. kutoka Chuo Kikuu cha Fordham.[1]

  1. "Faculty and Research - Theology and Religious Studies - Catholic University of America, Washington, DC | CUA".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.