Baisani
Mandhari
Baisani | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la baisani wa Amerika, Bison bison
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Baisani (Kisayansi: Bison) ni jenasi ya wanyama wakubwa wa Amerika na Ulaya wanaofanana na ng'ombe.
Spishi
- Bison bison, Baisani wa Amerika (American Bison)
- Bison bonasus, Baisani wa Ulaya (Wisent)
Spishi za kabla ya historia
- Bison antiquus (Ancient Bison)
- Bison latifrons (Gians Bison)
- Bison occidentalis (Bison occidentalis)
- Bison priscus (Steppe Wisent)
Picha
-
Jike na ndama wa baisani wa Amerika
-
Baisani wa Ulaya