Nenda kwa yaliyomo

William Knowles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:00, 14 Novemba 2011 na Amirobot (majadiliano | michango) (r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:ویلیام نولز)

William Standish Knowles (amezaliwa 1 Juni, 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali maalum za usanisi. Mwaka wa 2001, pamoja na Ryoji Noyori na Barry Sharpless alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Knowles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.