Nenda kwa yaliyomo

Iwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.

Iwi (pia: Iwig, Iwigius, Ywi; Britania, Karne ya 7Bretagne[1] , 704 hivi) alikuwa mmonaki shemasi, mwanafunzi wa Cuthbert wa Lindisfarne[2], ambaye alivuka bahari na kuishi kaskazini magharibi mwa Ufaransa wa leo, akikesha katika sala na kufunga, pamoja na kuinjilisha eneo hilo[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 6 Oktoba [5].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Blair, John (2002), "A Handlist of Anglo-Saxon Saints", katika Thacker, Alan; Sharpe, Richard (whr.), Local Saints and Local Churches in the Early Medieval West, Oxford: Oxford University Press, ku. 495–565, ISBN 0-19-820394-2
  • Dumville, D. N. (1992), Liturgy and the Ecclesiastical History of late Anglo-Saxon England: Four Studies, Woodbridge: Boydell Press, ISBN 0-85115-331-3
  • de G. Birch, W. (1896), "Ivy-Church", Wiltshire Notes and Queries: An Illustrated Quarterly Antiquarian and Genealogical Magazine, Volume I, Devizes G. Simpson, uk. 83
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.