Nenda kwa yaliyomo

Magadi (kemikali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Magadi
Magadi

Magadi ni kampaundi ya kemikali yenye fomula NaHCO3. Vitu vilivyomo ndani yake ni sodiamu, hidrojeni, kaboni, oksijeni.

Ni unga mweupe wa fuwele isiyo na asidi: katika siku za nyuma ilitumika kupunguza kiungulia, ugonjwa unaosababishwa na asidi nyingi katika tumbo la mtu. Hii ilikuwa kawaida kufanyika kwa kuchanganya magadi ya sodiamu na maji na kunywa. Wakati kuna asidi sana, husababisha na kiungulia. Inamenyuka na asidi kuzalisha gesi ya kaboni dioksidi. Pia hugusa na besi ili kupunguza madhara yake.

Wakati magadi ya sodiamu pigwa joto, hutoa kaboni dioksidi na mvuke wa maji (gesi) na hugeuka kuwa sodiamu yenye kaboni.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magadi (kemikali) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.