Nenda kwa yaliyomo

Kimindong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimin-Dong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wahan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimin-Dong nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 8.8. Pia kuna wasemaji katika nchi zifuatazo: 7060 nchini Brunei (2006), wachache tu nchini Indonesia (bila mwaka), 252,000 nchini Malaysia (2004), 34,200 nchini Singapuri (2000), na wengi nchini Uthai (bila takwimu). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimin-Dong iko katika kundi la Kichina.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimindong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.