Leroy Carr
Mandhari
Leroy Carr (27 Machi 1905 - 29 Aprili 1935) alikuwa mwimbaji wa muziki wa blues, mtunzi na mpiga kinanda nchini Marekani. Umaarufu na mtindo wake uliwavutia wasanii kama Nat King Cole na Ray Charles. Leroy Carr alijulikana sana kwa nyimbo yake ya "How Long, How Long Blues", rekodi yake ya kwanza iliyotolewa na Vocalion Records mnamo 1928.[1][2][3][4][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eagle, Bob L.; LeBlanc, Eric S. (2013). Blues: A Regional Experience. ABC-CLIO. uk. 152. ISBN 0313344248.
- ↑ O'Neal, Jim. "Leroy Carr: Biography". AllMusic. Iliwekwa mnamo Agosti 30, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wald, Elijah. "Leroy Carr – "The Bluesman Who Behaved Too Well"". Elijah Wald. Iliwekwa mnamo Novemba 11, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Giles Oakley (1997). The Devil's Music. Da Capo Press. uk. 160. ISBN 978-0-306-80743-5.
- ↑ Williams, David L. (2014). Indianapolis Jazz: The Masters, Legends and Legacy of Indiana Avenue (tol. la Kindle). Arcadia Publishing Inc. uk. 48.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leroy Carr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |