Nenda kwa yaliyomo

Anytime You Need a Friend

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“{{{Jina}}}”
“{{{Jina}}}” cover
Single ya Mariah Carey
kutoka katika albamu ya Music Box
Muundo CD single, cassette single, 7" single, 12" single
Aina Pop, R&B
Urefu 4:26
Studio Columbia
Mtunzi Mariah Carey, Walter Afanasieff
Mtayarishaji Mariah Carey, Walter Afanasieff
Certification Gold (Australia, New Zealand)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"Without You"/"Never Forget You"
(1994)
"Anytime You Need a Friend"
(1994)

"Anytime You Need a Friend" ni wimbo ulioandikwa na kutayarishwa na mwanamuziki wa nchini Marekani Mariah Carey akishirikiana na Walter Afanasief , ambapo wimbo huu ulirekodiwa kama wimbo katika albamu ya studio ya tatu ya mwaka 1993.. ni aina ya wimbo ambao unaweza kufana na wimbo wa kidini, kwani mwimbaji anamwambia mwezi wake kuwa, wakati wowote atakapohitaji rafiki, yeye atakuwa kwa ajili yake. Wimbo huu ulitoka kama single ya nne na ya mwisho katika robo ya tatu ya mwaka 1994. Wimbo huu umefanikiwa kupata tuzo mbalimbali kama vile tuzo ya BMI na pia tuzo ya ASCAP kwa nyimbo zenye miondoko ya pop. Hii ikiwa ni mwaka 1995 .

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

CD single #1

  1. "Anytime You Need a Friend" (album version)
  2. "Anytime You Need a Friend" (Soul convention remix)

CD single #2

  1. "Anytime You Need a Friend" (album version)
  2. "Music Box"

U.S. CD maxi-single 1

  1. "Anytime You Need a Friend" (C+C club version)
  2. "Anytime You Need a Friend" (Ministry of sound mix)
  3. "Anytime You Need a Friend" (Dave’s empty pass)
  4. "Anytime You Need a Friend" (7" mix)

U.S. CD maxi-single 2

  1. "Anytime You Need a Friend" (Soul convention remix)
  2. "Anytime You Need a Friend" (Stringapella)
  3. "Anytime You Need a Friend" (album version)
  4. "Music Box"

European CD maxi-single

  1. "Anytime You Need a Friend" (album version)
  2. "Anytime You Need a Friend" (C+C radio mix)
  3. "Anytime You Need a Friend" (Soul convention remix)
  4. "Anytime You Need a Friend" (C+C club version)
  5. "Anytime You Need a Friend" (Dave’s empty pass)
Chati (1994) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 12
Austrian Singles Chart[2] 25
Dutch Singles Chart[3] 11
European Singles Chart[4] 19
Finnish Singles Chart[5] 1
French Singles Chart[6] 12
German Singles Chart[7] 41
Irish Singles Chart[8] 16
Japanese Albums Chart[9] 341
New Zealand Singles Chart[10] 5
Swiss Singles Chart[11] 15
UK Singles Chart[12] 8
U.S. Billboard Hot 100[13] 12
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[13] 5
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[13] 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[13] 22

Provider Sales Certification
Australia 35,000+ Gold
New Zealand 7,500+ Gold

1 In Japan, EPs are charting on the albums chart.

  1. Australian Singles Chart
  2. Austrian Singles Chart
  3. Dutch Singles Chart
  4. "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-26.
  5. "Finnish Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2010-01-26.
  6. French Singles Chart
  7. German Singles Chart
  8. Irish Singles Chart
  9. Oricon Albums Chart
  10. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-14. Iliwekwa mnamo 2010-01-26. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  11. Swiss Singles Chart
  12. UK Singles Chart
  13. 13.0 13.1 13.2 13.3 "Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-04-04.