Nenda kwa yaliyomo

Domenico Calcagno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Domenico Calcagno

Domenico Calcagno (alizaliwa 3 Februari 1943) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Amekuwa askofu tangu mwaka 2002 na kardinali tangu mwaka 2012. Kuanzia tarehe 7 Julai 2011 hadi 26 Juni 2018, aliwahi kuwa Rais wa Idara ya Utawala wa Mali za Kitume za Vatican (Administration of the Patrimony of the Holy See - APSA), ambapo alihudumu kama katibu tangu mwaka 2007.[1]

  1. (in it) Rinunce e Nomine, 25.01.2002 (Press release). Holy See Press Office. 25 January 2002. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2002/01/25/0048/00142.html. Retrieved 14 August 2017.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.