Nenda kwa yaliyomo

Kichuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichuri ni chakula kiliwacho pamoja na nyama na mara nyingi hutumiwa na watu wa Tanzania kaskazini na Kenya,[1] hasa wazee wa makabila ya Wakurya, Wajaluo na Wamasai.

Ni chakula kilichosagwa tumboni mwa mnyama anayekula majani kabla hakijachujwa na kutoka kama kinyesi.

Baada ya mnyama kuchinjwa, hicho kinatolewa na kupikwa, kinachanganywa na pilipili na nyongo, hata limao kuleta ladha zaidi. Kinatumika zaidi kwa kukiweka kwenye nyama choma.[2]

  1. https://www.finmail.com/blog/world-cuisine/african-cuisine/kenyan-cuisine/kenya-kichuri/
  2. "Umuhimu wa Kichuri kwa Wakurya Tanzania | KenyaMOJA.com". www.kenyamoja.com. Iliwekwa mnamo 2024-01-13.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichuri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.