Nenda kwa yaliyomo

Kieman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kieman ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waeman. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kieman imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieman iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.