Nenda kwa yaliyomo

Klorofili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klorofili (pia chanikiwiti) ni kemikali ambayo hunyonya mwanga wa jua la alfajiri, mchana na jioni.

Inapatikana kwenye wigo la mimea na mwani na kuvipatia rangi ya kijani.

Husaidia kutengeneza chakula cha mimea na husaidia utengenezaji wa nguvu kwenye mimea.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klorofili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.