Mchezaji bora wa mwaka wa FIFA
Mchezaji bora wa mwaka ilikuwa tuzo iliyotolewa kila mwaka na mamlaka husika ya mchezo wa mpira wa miguu, FIFA kwa mchezaji bora duniani kati ya miaka 1991 na 2015. Makocha na manahodha wa timu za kimataifa na wawakilishi wa vyombo vya habari walichagua mchezaji waliodhani alionyesha kiwango bora kwa mwaka uliopita.
Mwanzoni tuzo moja ya mchezaji bora wa kiume wa mwaka ulimwenguni, sambamba kwa wanaume na wanawake zilitolewa kati ya 2001–2009. Tuzo ya wanaume ilibadilishwa kuwa Ballon d'Or ya FIFA mnamo 2010 wakati tuzo za wanawake zilibakia hivyo mpaka 2015. Baada ya 2015 tuzo zote za wanaume na wanawake zilikuwa sehemu ya Tuzo bora za FIFA za mpira wa miguu.
Wakati wa enzi ya tuzo za wanaume, wachezaji wa Brazil walishinda mara 8 ndani ya miaka 19, ukilinganisha na ushindi mara tatu – kwa mara mbili – kwa wachezaji wa Ufaransa. Kwa upande wa mchezaji mmoja mmoja, Brazil iliongoza tena kwa ushindi wa tuzo mara tano, wakifauatiwa na Italia na Ureno walioshinda mara mbili kila mmoja.[1][2] Mshindi mdogo Zaidi alikuwa Ronaldo, alishinda tuzo akiwa na miaka 20 mnamo 1996, na mshindi mkongwe Zaidi alikua Fabio Cannavaro, aliyeshinda akiwa na miaka 33 mnamo.[3][4] Ronaldo na Zinedine Zidane kila mmoja ameshinda tuzo mara tatu, wakati Ronaldo na Ronaldinho]] ndio wachezaji pekee walioshinda tuzo kwa miaka mfululizo. Kuanzia 2010 mpaka 2015, tuzo sawa kwa wanaume ilikuwa FIFA Ballon d'Or, kufuatia kuungana kwa tuzo ya FIFA mchezaji bora wa mwaka duniani na France Football Ballon d'Or .[5][6] Tokea 2016, tuzo hizo zilibadilishwa na kuwa Best FIFA Men's Player na Best FIFA Wanawake's Player.[7]
Wachezaji nane wa kike – watatu wa Ujerumani, wa tatu wa Marekani , mmoja wa Brazil, na mmoja wa japan– wameshinda tuzo hiyo. Marta, mpokeaji mdogo wa kike katika umri wa miaka 20 mnamo 2006, Ameshinda mara tano mfululizo tuzo hizo, na mara nyingi Zaidi kuliko mchezaji mwingine. Birgit Prinz ameshinda mara tatu mfululizo na Mia Hamm ameshinda mara mbili mfululizo. Mshindi mkongwe Zaidi ni Nadine Angerer, aliyekuwa na miaka 35 aliposhinda tuzo hiyo; ndiye pekee mlinda mlango kwa jinsia zote kuwahi kushinda tuzo hiyo.
Upigaji kura na mchakato wa uchaguzi
[hariri | hariri chanzo]Washindi huchaguliwa na makocha na manahodha wa timu za taifa pamoja na wawakilishi wa vyombo vya habari vya kimataifa walioalikwa na FIFA. [8] Kwenye mfumo wa kupiga kura uliyo katika missing ya positional voting, kila mpiga kura hugawiwa kura tatu, zenye thamani ya alama tano , alama tatu na alama moja, na tatu bora hupangwa kulingana na idadi ya alama. Kufuatia ukosoaji kutoka sehemu ya vyombo vya habari juu ya uteuzi katika miaka iliyopita , FIFA ilianza kutoa majina ya walioteuliwa kwa ajili ya kupigiwa kura kuanzia 2004.[9]
Mchezaji bora wa mwaka Ulimwenguni
[hariri | hariri chanzo]Source:[1]
Kutokea 2010 mpaka 2015, tuzo iliunganishwa na Ballon d'Or ili kuwa Ballon d'Or ya FIFA ndani ya ushirikiano wa miaka sita na Shirikisho la mpira wa miguu Ufaransa. Mwaka 2016, FIFA ilibadili tuzo hizo kuwa Mchezaji bora wa kiume wa FIFA.
Ushindi kwa mchezaji
[hariri | hariri chanzo]mchezaji | shindi | mshindi wa pili | mshindi wa tatu |
---|---|---|---|
Zinedine Zidane | 3 (1998, 2000, 2003) | 1 (2006) | 2 (1997, 2002) |
Ronaldo | 3 (1996, 1997, 2002) | 1 (1998) | 1 (2003) |
Ronaldinho | 2 (2004, 2005) | — | 1 (2006) |
Lionel Messi | 1 (2009) | 2 (2007, 2008) | — |
Cristiano Ronaldo | 1 (2008) | 1 (2009) | 1 (2007) |
Luís Figo | 1 (2001) | 1 (2000) | — |
Romário | 1 (1994) | 1 (1993) | — |
George Weah | 1 (1995) | 1 (1996) | — |
Roberto Baggio | 1 (1993) | — | 1 (1994) |
Rivaldo | 1 (1999) | — | 1 (2000) |
Lothar Matthäus | 1 (1991) | — | — |
Marco van Basten | 1 (1992) | — | — |
Fabio Cannavaro | 1 (2006) | — | — |
Kaká | 1 (2007) | — | — |
Ushindi kwa nchi
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Wachezaji | Jumla |
---|---|---|
Brazil | 5 | 8 |
Argentina | 2 | 2 |
Italy | 2 | 2 |
Kigezo:POR | 2 | 2 |
Ufaransa | 1 | 3 |
Ujerumani | 1 | 1 |
Uholanzi | 1 | 1 |
Liberia | 1 | 1 |
Ushindi kwa vilabu
[hariri | hariri chanzo]Club | Players | Total |
---|---|---|
Barcelona | 5 | 6 |
Real Madrid | 4 | 4 |
Milan | 3 | 3 |
Juventus | 2 | 3 |
Internazionale | 2 | 2 |
Manchester United | 1 | 1 |
Mchezaji wa kike wa mwaka wa FIFA ulimwenguni
[hariri | hariri chanzo]Source:[1]
Mwaka 2016, FIFA ilianzisha mchezaji bora wa kike wa mwaka wa FIFA.
Ushindi kwa mchezaji
[hariri | hariri chanzo]mchezaji | 1st | 2nd | 3rd |
---|---|---|---|
Marta | 5 (2006, 2007, 2008, 2009, 2010) | 4 (2005, 2011, 2012, 2014) | 2 (2004, 2013) |
Birgit Prinz | 3 (2003, 2004, 2005) | 5 (2002, 2007, 2008, 2009, 2010) | — |
Mia Hamm | 2 (2001, 2002) | 2 (2003, 2004) | — |
Abby Wambach | 1 (2012) | 1 (2013) | 2 (2011, 2014) |
Homare Sawa | 1 (2011) | — | — |
Nadine Angerer | 1 (2013) | — | — |
Nadine Keßler | 1 (2014) | — | — |
Carli Lloyd | 1 (2015) | — | — |
Ushindi kwa nchi
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Wachezaji | Jumla |
---|---|---|
Ujerumani | 3 | 5 |
Brazil | 1 | 5 |
Marekani | 3 | 4 |
Japan | 1 | 1 |
Ushindi kwa vilabu
[hariri | hariri chanzo]Klabu | Wachezaji | Jumla |
---|---|---|
1. FFC Frankfurt | 1 | 3 |
Umeå IK | 1 | 3 |
Washington Freedom | 1 | 2 |
Santos | 1 | 2 |
INAC Kobe Leonessa | 1 | 1 |
Brisbane Roar | 1 | 1 |
VfL Wolfsburg | 1 | 1 |
Houston Dash | 1 | 1 |
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Notes
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Weah alisainiwa na Milan kutoka Paris Saint-Germain katikati mwa 1995.
- ↑ Klinsmann alisainiwa na Bayern Munich kutokea Tottenham Hotspur katikati mwa 1995.
- ↑ Ronaldo alisainiwa na Barcelona kutokea PSV Eindhoven katikati mwa 1996.
- ↑ Sheareralisainiwa alisainiwa na Newcastle United kutokea Blackburn Rovers katikati mwa 1996.
- ↑ Figo alisainiwa na Real Madrid from Barcelona katikati mwa 2000.
- ↑ Ronaldo alisainiwa na Real Madrid from Internazionale katikati mwa 2002.
- ↑ Cannavaro alisainiwa na Real Madrid kutokea Juventus katikati mwa 2006.
- ↑ Cristiano Ronaldo alisainiwa na Real Madrid kutokea Manchester United katikati mwa 2009.
- ↑ Cristiane alisainiwa na Corinthians kutokea Linköpings F.C. katikati mwa 2008.
- ↑ Marta alisainiwa na Santos kutokea Los Angeles Sol katikati mwa 2009.
- ↑ Smith alisainiwa na Boston Breakers kutokea Arsenal Ladies katikati mwa 2009.
- ↑ Marta alisainiwa na Western New York Flash kutokea Santos katikati mwa 2011.
- ↑ Angerer alisainiwa na Brisbane Roar kutokea 1. FFC Frankfurt katikati mwa 2013.
- ↑ Marta alisainiwa na FC Rosengård kutokea Tyresö FF katikati mwa 2014.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 "FACTSheet FIFA awards" (PDF). FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-01-22. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "FIFA Awards". RSSSF.com. Retrieved 1 April 2013
- ↑ "Brazil legend Ronaldo retires from football". BBC. Retrieved 17 November 2013
- ↑ "Cannavaro discusses highs and lows" Archived 2013-12-16 at the Wayback Machine. Football Federation Australia. Retrieved 18 November 2013
- ↑ "The FIFA Ballon d'Or is born" Archived 18 Januari 2015 at the Wayback Machine.. FIFA.com. Retrieved 12 January 2016
- ↑ "FIFA Ballon d'Or World Player of the Year: Award History" Archived 7 Januari 2016 at the Wayback Machine.. FIFA.com. Retrieved 12 January 2016
- ↑ "The birth of The Best FIFA Football Awards". FIFA.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-05. Iliwekwa mnamo 24 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine. - ↑ "Messi, Lloyd, Luis Enrique and Ellis triumph at FIFA Ballon d'Or 2015". FIFA. 11 Januari 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-14. Iliwekwa mnamo 13 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Archived 14 Agosti 2016 at the Wayback Machine. - ↑ "FIFA.com - Thirty-five stars make Zurich shortlist". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-19. Iliwekwa mnamo 2019-10-08. Archived 19 Machi 2016 at the Wayback Machine.