Shemasi mdogo
Mandhari
Shemasi mdogo ni Mkristo anayetoa huduma fulani katika madhehebu mbalimbali, hasa wakati wa liturujia.
Cheo chake kinafuata kile cha shemasi. Pengine kinalinganishwa kabisa na kile cha akoliti.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The Byzantine rite of Ordination of a Subdeacon
- Institute of Christ the King Sovereign Priest
- Priestly Fraternity of Saint Peter
- History of Subdeacons
- Ministeria quaedam, Apostolic Letter on First Tonsure, Minor Orders, and the Subdiaconate Archived 23 Januari 2020 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shemasi mdogo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |