Nenda kwa yaliyomo

mhalifu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

mhalifu (wingi wahalifu)

  1. mtu anyetenda vitendo visivyohalali
  2. mhusika mwovu ambaye anapinga shujaa katika hadithi ya kubuniwa

Tafsiri

[hariri]