Necta Standard Four National Assessment-Sfna 2017
Necta Standard Four National Assessment-Sfna 2017
Necta Standard Four National Assessment-Sfna 2017
NOVEMBA 2017
NAMBA
TAREHE NA SIKU MUDA (SAA) SOMO
MFICHO
8. Watahiniwa waelekezwe;
(a) Kuingia ndani ya chumba cha upimaji nusu saa kabla ya muda wa upimaji na
watakaochelewa kwa zaidi ya nusu saa baada ya upimaji kuanza
hawataruhusiwa.
(b) Kufuata maelekezo yote yatakayotolewa na wasimamizi wa upimaji.
(c) Kuandika jina kamili na namba ya upimaji kwa usahihi.
(d) Kutofanya mawasiliano ya maneno au kwa njia yoyote baina ya watahiniwa.
Ikiwa mtahiniwa ana tatizo anatakiwa kunyoosha mkono ili kuomba msaada kwa
msimamizi wa upimaji.
(e) Wakijihusisha katika udanganyifu watafutiwa matokeo yao ya upimaji.