Ziwa Nikaragua : Tofauti kati ya masahihisho
Mandhari
Content deleted Content added
Created by translating the page "Lake Nicaragua" |
No edit summary |
||
(Sahihisho moja la kati na mtumizi mwingine na yule ambaye hajaonyeshwa) | |||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Ziwa |
|||
| jina = Ziwa Nikaragua |
|||
| picha = Nicaragua relief location map.jpg |
|||
| maelezo_ya_picha = |
|||
| mahali = |
|||
| nchi = [[Nikaragua]] |
|||
| eneo = [[kilomita ya mraba|km<small><sup>2</sup></small>]] 41,600 |
|||
| kina = [[m]] 45 |
|||
| mito inayoingia = Río Tipitapa |
|||
| mito inayotoka = Mto San Juan |
|||
| kimo = m 31 |
|||
| miji = |
|||
}} |
|||
[[Picha:Lake Nicaragua.jpg|thumb]] |
[[Picha:Lake Nicaragua.jpg|thumb]] |
||
'''Ziwa |
'''Ziwa Nicaragua''' ndilo [[ziwa]] kubwa zaidi katika [[Amerika ya Kati]]. Liko [[kusini]] mwa [[Nikaragua]], karibu na [[mpaka]] na [[Kosta Rika]]. Ziwa hilo linapokea sehemu ya [[maji]] yake kutoka [[Ziwa Managua]] kupitia [[mto]] mdogo wa [[mto Tipitapa|Tipitapa]]. |
||
Ndani ya Ziwa Nikaragua kuna [[visiwa]] vidogo zaidi ya 400, [[Kisiwa|visiwa]] vikubwa vitatu na [[volkeno]] [[mbili]]. |
|||
Maji ya ziwa hutoka kupitia Mto San Juan ambao ni pia mpaka na [[Kosta Rika]] na kuelekea [[Bahari ya Karibi]]. |
Maji ya ziwa hutoka kupitia [[Mto San Juan]] ambao ni pia mpaka na [[Kosta Rika]] na kuelekea [[Bahari ya Karibi]]. |
||
{{mbegu-jio}} |
|||
[[Jamii:Maziwa ya Amerika ya Kaskazini]] |
[[Jamii:Maziwa ya Amerika ya Kaskazini]] |
||
[[Jamii:Jiografia ya Nikaragua]] |
[[Jamii:Jiografia ya Nikaragua]] |
Toleo la sasa la 07:16, 24 Oktoba 2019
| |
Nchi zinazopakana | Nikaragua |
Eneo la maji | km2 41,600 |
Kina cha chini | m 45 |
Mito inayoingia | Río Tipitapa |
Mito inayotoka | Mto San Juan |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB |
m 31 |
Ziwa Nicaragua ndilo ziwa kubwa zaidi katika Amerika ya Kati. Liko kusini mwa Nikaragua, karibu na mpaka na Kosta Rika. Ziwa hilo linapokea sehemu ya maji yake kutoka Ziwa Managua kupitia mto mdogo wa Tipitapa.
Ndani ya Ziwa Nikaragua kuna visiwa vidogo zaidi ya 400, visiwa vikubwa vitatu na volkeno mbili.
Maji ya ziwa hutoka kupitia Mto San Juan ambao ni pia mpaka na Kosta Rika na kuelekea Bahari ya Karibi.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|