Kaa (mnyama) : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1+) (roboti Nyongeza: ia:Cancere (animal) |
d r2.6.3) (roboti Nyongeza: sn:Gakanje |
||
Mstari 129: | Mstari 129: | ||
[[simple:Crab]] |
[[simple:Crab]] |
||
[[sl:Rakovice]] |
[[sl:Rakovice]] |
||
[[sn:Gakanje]] |
|||
[[sr:Краба]] |
[[sr:Краба]] |
||
[[su:Keuyeup]] |
[[su:Keuyeup]] |
Pitio la 13:33, 14 Oktoba 2011
Kaa | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Kaa ni myama wa Arithropodi wa oda ya chini ya Brachyura ambao kwa ukawaida wana mikia midgo mno au fumbatio lao limejificha ndani ya kifua. Wanyama wengine kama kaa walii "(hermit crabs)", kaa mfalme ("king crabs") na kaa kiatu farasi ("horseshoe crabs") sio kaa wa kweli. Kaa kawaida wamefunikwa na fuvu la nje, huku wakiwa na jozi moja ya kucha. Takribani spishi 6793 zinajulikana.
Kaa wanapatikana kwenye katika bahari zote duniani, zaidi kaa wengi wanaishi kwenye maji baridi na nchi kavu, hata kwenye sehemu za kitropiki. Kaa wana ukubwa mbalimbali kwa mfano kuanzia “pea crab” mwenye urefu wa milimita kadhaa, mpaka kwa kaa wa Kijapani, Japanese spider crab, wenye mpaka jumla ya urefu (na muguu yake) wa mita 4. [1]
Mabadiliko na uainishaji
Oda ya Brachyura ina jumla ya familia 93[2] Kwa mingi sawa na mabaki ya Decapoda.[3]. Mabadiliko ya vizazi ya kaa yanajumuisha kuongezeka kwa mwili wenye msuru na kupungua kwa fumbatio. Japokuwa makundi mengine nayo yanapitia mabadiliko hayohayo, kaa wameonekana kuimarika zaidi. Kaa wanafahamika kwa kuhudumia chakula na kulinda familia zao, na wakati wa kujamiiana hutafuta sehemu mzuri ya kaajike kutoa mayai yake.[4]
Kiasi cha spishi 850 [5] za kaa wanaishi kwe maji baridi, au nchi kavu na majini na wanapatikana maeneo mbalimbali hasa maeneo ya kitropiki na nusu tropiki, walionekana kuwa wanauhusiano na wanaunda familia iliyokubwa na karibu sana, lakini sasa inaaminika wanaunda makundi makubwa tofauti mawili, wale wa Dunia Mpya na Dunia ya Kale.
Tabia
Kaa ni wanyama waliochangamka na wenye tabia tata. Huwasiliana kwa kugonga au kupunga koleo zao. Kaa huchukiana wao kwa wao,na mara nyingi dume huchukiana kuwapata kaa jike. [6] Kwenye fukwe kwenye miamba, ambako mapango na nyufa zimejaa, kaa hupigania pia kupata nafasi.
Chakula
Kaa hula nyama na majani lakini hasa hula algi [7] na hula chakula kingi chochote kama vile moluski, minyoo, fungi, bacteria, na hata jamii nyingine za crustaceans, kutokana na upatikanaji wao na pia spishi ya kaa husika, kwa kaa wengi, mchanganyiko wa mlo wenye nyama na mimea hupendelea kukua haraka nawenye nguvu htabiti[8][9]
Mapishi ya kaa
[[10]] Kaa masala kutoka Karnataka, India
Kaa huandaliwa na kuliwa katika namna mbalimbali sehemu tofauti tofauti za dunia.Baadhi ya spishi wanaliwa wote hata gamba lake, kama vile kaa mwenye gamba laini. Spishi nyingine huliwa miguu yake na koleo lake tu. Hiki ni kitu cha kawaida kwa kaa wa kuliwa kama vile snow crab.
Katika maeneo mbalimbali duniani viungo kadhaa huongezwa kuberesha ladha ya kaa mfano huko Asiai, kaa- masala na kaa- pilipili ni chakula chenye viungo vingi sana.
Kwa Uingereza nyama ya kaa na hupikwa huandaliwa ndani ya magamba ya kaa tena namna mojawapo ya kuandaa kaa wanyama ni kumwondoa na kumwandaa na kumchanganya na unga kutengeneza keki ya kaa.
Kwa kawaida kaa huchemshwa wakiwa hai, wana sayansi wa Norwei walidhihirisha suala hili kwa kusema kuwa kaa hawaumii wala kuhisi maumivu pindi wanapopikwa hivyo. [11], hata hivyo hapo baadae wana sayansi walitambua na kusema kuwa kaa nao huhisi maumivu na kuyakumbuka, japo hili si suala kubwa wakati wa kupika.
Uvuvi
[[12]] Wavuvi wakichagua kaa wanaoliwa huko Fionnphort, Scotland
Kaa wanafanya asilimia zaidi ya 20% ya jamii ya crustaceans. Wote wanaovuliwa baharini, na kutumika duniani kote, kufikia tani milioni moja na nusu kwa mwaka.
Kaa na tamaduni
[[13]] Moche chombo kikionesha kaa
Kaa ni miongoni mwa alama 12 za kundi la nyoka la zodiaki. John Bevis aliona umbo hilo la kaa na kulifananisha na kaa mnamo 1731.
Picha [[14]] Masked crab
[[15]] Corystes cassivelaunus