Abobaku
Mandhari
Abobaku ni filamu fupi ya mwaka 2010 iliyoandikwa na kutayarishwa na Femi Odugbemi na kuongozwa na Niji Akanni.[1]
Mwaka 2010 filamu hii ilishinda katika tamasha la Zuma Film Festival kama filamu bora fupi inayoeleweka zaidi na tarehe 10 April 2010 ilipata tuzo nyingine ya 6th Africa Movie Academy Awards Tuzo zilifanyika katika kituo cha Gloryland Culural Centre katika mji wa Yenagoa, Bayelsa State, Nigeria.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Abobaku! - The Nation". thenationonlineng.net. Iliwekwa mnamo 2015-04-12.
- ↑ "AMAA 2010: 280 films entered, as Ghana hosts nomination party - Vanguard News". vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 2015-04-12.
- ↑ Krings, M.; Okome, O. (2013). Global Nollywood: The Transnational Dimensions of an African Video Film Industry. Indiana University Press. uk. 44. ISBN 9780253009425. Iliwekwa mnamo 2015-04-12.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abobaku kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |