Aljebra mstari
Mandhari
Aljebra mstari (au aljebra nyofu) ni aljebra ambayo inaunda mstari ulionyoka.
Kwa mfano: x + 2y = 6.
Inatofautiana na aljebra mraba na aljebra upinde.
Ni ya msingi kwa hisabati yote, hasa jiometri.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aljebra mstari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |