Allah Peliharakan Sultan
Allah Peliharakan Sultan ni Wimbo wa Taifa wa Brunei. Kiswahili: Mungu ambariki sultani.
Huimbwa kwa lugha ya kitaifa Kimalay. Wimbo ulitungwa mwaka 1947 na kufanywa wimbo la taifa kwa Brunei mwala 1951, wakati usultani huu bado ilikuwa nchi lindwa ya Uingereza.
Uliendelea kuwa wimbo wa taifa tangu uhuru mwaka 1984. Watoto wa shule huuimba kila asubuhi.
Alfabeti ya Kiarabu | Kimalay kwa Alfabeti ya Kilatini | Tafsiri |
---|---|---|
يا الله لنجوتكنله اوسيا |
Ya Allah lanjutkanlah Usia |
Ewe Allah umbariki mtawala |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allah Peliharakan Sultan kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |