Buhen
Mandhari
Buhen (Kigiriki: Βοὥν Bohón)[1] yalikua ni makazi ya kale ya Misri yaliokuepo kwenye ukingo wa Magharibi wa Mto Nile chini (Kaskazini mwa) Maporomoko makubwa ya pili ya maji katika eneo ambalo sasa ni Jimbo la Kaskazini, Sudan.
Kwa sasa imezama katika Ziwa Nasser, Sudan. Kwenye ukingo wa Mashariki, ng'ambo ya mto, kulikuwa na makazi mengine ya kale, ambapo mji wa Wadi Halfa upo sasa . Kutajwa kwa mwanzo zaidi kwa Buhen kunatokana na stelae kwa utawala wa Senusret I.[2] Buhen pia ni makazi ya mwanzo ya Wamisri kujulikana katika ardhi ya Nubia [3]
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Hekalu la Horus la Buhen katika Makumbusho ya Taifa ya Sudan
-
Mwonekano wa ngome kutoka kaskazini
-
Buhen
-
Alama ya mpaka wa zamani wa Misri (miaka ya 1860KK)
-
Buhen - Ngome ya Kati na Ufalme Mpya ( miaka ya 1200 K.K.).
-
Ngome ya Ufalme wa Kati, iliyojengwa upya chini ya Ufalme Mpya (takriban 1200 K.K.)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |