Nenda kwa yaliyomo

Chui wa Tasmania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thilasini
Thilasini (Thylacinus cynocephalus)
Thilasini (Thylacinus cynocephalus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata
Nusufaila: Vertebrata
Ngeli: Mammalia
Ngeli ya chini: Marsupialia
Oda: Dasyuromorphia
Familia: Thylacinidae
Jenasi: Thylacinus
Temminck, 1824
Spishi: Thylacinus cynocephalus
(Harris, 1808)

Chui wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian tiger) au thilasini (kutoka Kilatini: thylacinus, Kisayansi: Thylacinus cynocephalus) ni spishi iliyokwisha ya mnyama ya Marsupialia wa Australia, Tasmania na Nyugini.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chui wa Tasmania kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu "Chui wa Tasmania" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili Tasmanian tiger na thylacinus kutoka lugha ya Kiingereza na Kilatini. Neno (au maneno) la jaribio ni chui wa Tasmania na thilasini.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.