Emila na Yeremia
Mandhari
Emila na Yeremia (walifariki Cordoba, Hispania, 852) walikuwa ndugu Wakristo wa ukoo maarufu walioteswa gerezani muda mrefu wakauawa kwa kukatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo[1][2].
Emila alikuwa shemasi.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Septemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Santoral Diocesano de Córdoba Archived 3 Novemba 2007 at the Wayback Machine.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/70330
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |