Frédéric Joliot-Curie
Mandhari
Frédéric Joliot-Curie (19 Machi 1900 - 14 Agosti 1958) alikuwa mwanasayansi wa Kifaransa.
Alishinda tuzo ya Nobel kwa Kemia mwaka wa 1935 pamoja na mkewe, Irène Joliot-Curie aliyekuwa binti wa Pierre Curie na Marie Curie.
Utafiti wa Frederic na Irene ulikuwa juu ya muundo wa atomu; waliweka msingi wa ugunduzi wa baadaye wa nyutroni.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kigezo:ISO 639 name fr Wikisource has original text related to this article: |
- Biquard, Pierre (1966). Joliot-Curie: The Man and His Theories. New York: Paul S. Erickson. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2021-11-10.
{{cite book}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - Atomic Archive Biography
- Conference (Dec. 1935) for the Nobel prize of F. & I. Joliot-Curie, online and analyzed on BibNum [click 'à télécharger' for English version].
- Pinault, Michel (2000). Frédéric Joliot-Curie. Paris: Odile Jacob. ISBN 2-7381-0812-1.
- Biquard, Pierre (1961). Frédéric Joliot-Curie et l'énergie atomique. Paris: Seghers. ISBN 2747543110.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frédéric Joliot-Curie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |