Hifadhi ya Taifa ya Phong Nha-Ke Bang
Mandhari
Phong Nha-Ke Bang ni hifadhi ya taifa ya katika Jimbo la Quang Binh, Vietnam, km 50 kutoka kaskazini mwa mji wa Đồng Hới, km 44 kutoka kaskazini mwa Uwanja wa Ndege wa Dong Hoi, na km 450 kutoka kusini mwa mji wa Hanoi.
Hifadhi ina mapango zaidi ya 300 na mengine madogo yenye urefu wa km 126. Hifadhi pia inaviumbe hai. Mnamo mwezi wa Julai 2003, UNESCO wameingiza hifadhi hii katika moja kati ya sehemu za Urithi wa Dunia.[1][2] Mnamo mwezi wa Aprili katika mwaka wa 2009, mpelelezi wa Kiingereza amegundua kuwa miongoni mwa maeneo yenye mapango makubwa duniani nalo hapa linapatikana.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ UNESCO, (Kiingereza)
- ↑ New Lizard Species Found In Phong Nha-Ke Bang,(Kiingereza)
- ↑ "Explorers find world's largest cave in Vietnam". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-26. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- UNESCO World Heritage page for Phong Nha-Ke Bang
- Phong Nha-Ke Bang on Thanhniennews in English Archived 11 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- "Amazing natural beauty of Phong Nha-Ke Bang", Vietnamnet News Archived 18 Machi 2008 at the Wayback Machine.