Jacques Person
Mandhari
Jakob "Jacques" Person (1 Mei 1889 - 15 Julai 1915) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1912.[1] Mwaka 1912 aliondolewa katika nusu fainali ya shindano la mita 400. Katika mbio za mita 800 alitolewa katika raundi ya kwanza.[2]
Aliuawa wakati wa Vita ya Kwanza ya dunia.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jacques Person". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-03. Iliwekwa mnamo 2024-10-17.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link) - ↑ "Jacques Person". Olympedia. Iliwekwa mnamo 18 Aprili 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Olympians Who Were Killed or Missing in Action or Died as a Result of War". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-02-27. Iliwekwa mnamo 2024-10-17.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacques Person kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |