Jimbo Kuu la Lubumbashi
Mandhari
Jimbo Kuu la Lubumbashi (kwa Kilatini Archidioecesis Lubumbashiensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa lina majimbo ya Kalemie-Kirungu, Kamina, Kilwa-Kasenga, Kolwezi, Kongolo, Manono na Sakania-Kipushi chini yake.
Askofu mkuu wake ni Fulgence Muteba Mugalu, S.D.B.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 61,828, ambapo kati ya wakazi 2,997,648 (2016) Wakatoliki ni 1,648,912 (55%) katika parokia 75.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Lubumbashi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |