Johannes Fibiger
Mandhari
Johannes Fibiger (23 Aprili 1867 – 30 Januari 1928) alikuwa daktari na mwanapatholojia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza ugonjwa wa kansa. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Johannes Fibiger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |