Joyce Chepchumba
Mandhari
Joyce Chepchumba (alizaliwa Kericho, 6 Novemba 1970) ni mwanariadha wa mbio ndefu nchini Kenya, ambaye alishinda medali ya shaba katika Mbio ya Marathoni katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joyce Chepchumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |