Kaizari Macrinus
Mandhari
Marcus Opellius Macrinus (takriban 165 – Juni 218) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Aprili, 217 hadi tarehe 8 Juni, 218. Alimfuata Caracalla. Kabla Macrinus hajafa, mpwa wa Caracalla, Elagabalus alitangazwa kuwa Kaizari tarehe 18 Mei. Alimshinda Macrinus katika pigano la vita tarehe 8 Juni, na Macrinus aliuawa kisheria baadaye kidogo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Macrinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |