Kigaro
Mandhari
Kigaro ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wagaro. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kigaro nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 889,000. Pia kuna wasemaji 120,000 nchini Bangladesh (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigaro iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kigaro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigaro Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigaro katika Glottolog
- lugha ya Kigaro kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |