Nenda kwa yaliyomo

Kigogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia makala ya kigogo (maana)

Vigogo
Vyelezo kwenye mto Volga, Urusi

Kigogo ni shina la mti lililokatwa. Kiuchumi kigogo ni chanzo cha ubao unaokatwa kwa matumizi ya kibinadamu.

Kigogo huwa pia chanzo cha mtumbwi (chombo kidogo cha usafiri wa majini) na chelezo ambacho ni vigogo vilivyounganishwa.

Maana ya ziada

[hariri | hariri chanzo]

Kutokana na ukubwa na uzito wa kigogo neno hili linatumiwa pia kumtaja mtu muhimu katika jamii.