Nenda kwa yaliyomo

Kikpee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikpee au Kikpeego, inayojulikana kwa jina la msingi kama Numu (Noumoukan), ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wamandé. Hii ni lugha ya wafua vyuma (numu) huko Burkina Faso.

Inadhaniwa kuwa na ufanano na lugha ya Kiligbi nchini Ghana, lakini hakuna ulinganisho uliofanywa.[1]


Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.