Nenda kwa yaliyomo

Kipindi cha mzunguko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipindi cha mzunguko ni muda ambapo kiolwa cha angani kinazunguka kiolwa chengine mara moja. Katika elimuanga, huhusu sayari au visayari vizungukavyo Jua, miezi izungukayo sayari, sayari-nje zizungukazo nyota nyingine, au nyota maradufu. Pia huhusu muda ambapo satelaiti au vipimaanga vinamaliza mzunguko mmoja juu ya kiolwa cha angani.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipindi cha mzunguko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.