Nenda kwa yaliyomo

Mto Sankuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Sankuru (upande wa juu) ukiingia mto Kasai (picha kutoka angani).
Mto Sankuru ukioneka mwekundu katika ramani.

Mto Sankuru ni tawimto la mto Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Urefu wake ni km 1,200 hivi[1], hivyo ni mrefu kuliko mito mingine inayochangia mto Kasai (karibu na Bena-Bendi, kwenye 4°17′S 20°25′E / 4.283°S 20.417°E / -4.283; 20.417).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Sankuru River" in The New Encyclopædia Britannica. Chicago: Encyclopædia Britannica Inc., 15th edn., 1992, Vol. 10, p. 278.
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Sankuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.