Nenda kwa yaliyomo

Nusuirabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nusuirabu (au kiyeyusho) ni sauti ambayo kutamkwa hutamkwa kama irabu ingawa kwa kweli ni konsonanti.

Katika lugha ya Kiswahili ni mbili: w na y.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusuirabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.