Nenda kwa yaliyomo

Nyumbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumbu
Nyumbu kidevu-cheupe magharibi (Connochaetes taurinus mearnsi)
Nyumbu kidevu-cheupe magharibi
(Connochaetes taurinus mearnsi)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Alcelaphinae (Wanyama wanaofanana na kongoni)
Brooke, 1876
Jenasi: Connochaetes (Nyumbu)
Lichtenstein, 1812
Ngazi za chini

Spishi 2, nususpishi 5:

Nyumbu (kwa Kiingereza: wildebeest) ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Connochaetes katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi C. taurinus mearnsi na C. t. albojubatus, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote za Connochaetes huitwa nyumbu.

Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni nyeusi pengine na mng'aro buluu au kahawia.

Dume na jike wana pembe zenye umbo la zile za ng'ombe. Wanyama hawa hula nyasi fupi.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyumbu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.