Nenda kwa yaliyomo

Pasquale Cascio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pasquale Cascio (alizaliwa 29 Novemba 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Hivi sasa anahudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo la Sant'Angelo dei Lombardi-Conza-Nusco-Bisaccia.[1]

  1. "Don Pasquale Cascio Arcivescovo di S. Angelo dei Lombardi", Irpinia News, 27 October 2012. (Italian) 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.