Nenda kwa yaliyomo

Smooth Criminal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Smooth Criminal”
“Smooth Criminal” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Bad
Imetolewa 24 Oktoba 1988 (1988-10-24)
Muundo 5" CD single
3" CD single
12" vinyl
7" single
Cassette single
Imerekodiwa 1987
Aina Funk, Dance-Pop
Urefu Toleo la Albamu: 4:17
7" Version/Single Mix: 4:10
Extended Dance Mix: 7:48
Studio Epic
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Another Part of Me"
(1988)
"Smooth Criminal"
(1988)
"Leave Me Alone"
(1989)

"Smooth Criminal" ni jina la single ya saba ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya Bad (1987). Wimbo huu unasikika kwa kasi, yaani, biti yake ni ya kuchangamka kidogo huku ikiwa inamwelezea Jackson akitoa mashairi yake yenye kumlenga mwanamama mmoja aliyeitwa Annie, amabye alivamiwa na wezi kwenye nyumba yake. Wimbo huu ulitolewa mnamo tar. 24 Oktoba 1988, ukiwa kama single na kuweza kushika nafasi ya 7 kwenye chati za Billboard Hot 100.[1] Wimbo huu ulikuja kutolewa tena mnamo tar. 10 Aprili katika mwaka wa 2006 ukiwa kama moja ya sehemu ya seti ya Visionary: The Video Singles. Toleo la single la Visionarylilishika nafasi ya 19 kwenye chati za UK. Mnamo mwaka wa 2003, wimbo umeonekana tena kwenye toleo la albamu ya nyimbo kali na mchanganiko za Michael, Number Ones.

Michakaliko katika chati

[hariri | hariri chanzo]
Chati (1988) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart [2] 29
Belgian Singles Chart 1
Danish Singles Chart 1
Dutch Top 40 [3] 1
French Singles Chart 4
German Singles Chart 9
Irish Singles Chart 4
Italian Singles Chart 6
Israeli Singles Chart 1
Spanish Singles Chart 1
Swiss Singles Chart 5[4]
UK Singles Chart 8
US Billboard Hot 100 7
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 16
Danish Singles Chart 31
Irish Singles Chart 14
New Zealand Singles Chart 37
Swiss Singles Chart 12[4]
UK Singles Chart 13
U.S. Billboard Hot Digital Songs[5] 12

Muziki wa video

[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Smooth Criminal" - 3:29
  2. "Orange Appeal" - 4:45
  3. "Denigrate" - 4:15
  4. "Smooth Criminal" (Video)
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-03-12. Iliwekwa mnamo 2009-07-23.
  2. "Smooth Criminal" at australian-charts.com
  3. "De Nederlandse Top 40, week 51, 1988". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-01-27. Iliwekwa mnamo 2008-03-27.
  4. 4.0 4.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-23.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Smooth Criminal kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.